👋 Karibu sana!

Huduma ya Ukombozi
wa Nafsi Ministry
Nuru Duniani.

Sikiliza Live

Nuru ya Wokovu
kwa Kila Nafsi

Huduma za Ukombozi wa Nafsi ni huduma ya Kikristo yenye lengo la kuleta nuru ya wokovu kwa kila nafsi.

Mafundisho

Tunatoa mafundisho ya kina kuhusu Neno la Mungu, kukusaidia kuelewa maandiko na kujenga imani yako kwa Yesu Kristo.

Maombi

Tunakuombea na kukuongoza katika maombi, tukiamini katika nguvu za maombi kwa ajili ya uponyaji, amani, na mwongozo wa kiroho.

Ushauri

Tunatoa ushauri wa kiroho, tukisaidia watu kushinda changamoto za maisha kwa hekima na upendo wa Mungu.

Shuhuda za mbali mbali...

Wasiliana Nasi

Tungependa kusikia kutoka kwako! Kama una maswali, maombi, au ungependa kushiriki uzoefu wako na Huduma za Ukombozi wa Nafsi, tafadhali wasiliana nasi kupitia njia zifuatazo:

Simu

+255 764 852 393

Barua Pepe

info@nuruduniani.org

Mahali

Kisongo, Arusha, Tanzania

Tuandikie Ujumbe

© 2025 Nuru Duniani. All Rights Reserved